Thursday, February 25, 2010

Ubunifu au Uharibifu


Mimi sina la kusema hapo!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli huu ni ubunifu, mie ndo kwanza nilitaka kusema leo ntazifaidi hizo samaki. Sijui ntajisikia vipi kuvaa samaki miguuni...lol

chib said...

He, sio ubunifu tena, hii ni kejeli

Upepo Mwanana said...

Mimi ni mpenzi wa samaki SANA, NDIO MAANA NIMESIKITIKA KWA WATU KUWAGEUZA MALAPA