Sunday, January 1, 2012

Tumeanza mwaka Mpya wa 2012

Ninamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kunijalia kufanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2012.  
Kila ninapoanza mwaka mpya, na ndipo ninaposheherekea siku yangu maalumu ya kuzaliwa. Kwa hiyo huwa nina furaha isiyo na kifani. 
 
Ninawatakia watu wote Heri ya mwaka mpya wa 2012. 

6 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Sisi tuliezaliwa katikati na mwaka hua tunachang'anyikiwa wakati mwingine "bado vijana sie au tumezeeka?"


Kwa mfano, sasa hivi mimi mwenye kuzaliwa Mei 4, 61 nisemeje?

Nina umri 50 au 51?


Mungu anakupenda sana kwa kukuleta duniani hapo mwanzoni wa mwaka. Hongera kwa yote: mwaka mpya na siku ya kuzaliwa kwako!

chib said...

Hongera kwa vyote

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA NA PIA KWA MWAKA MPYA...

Upepo Mwanana said...

Ahsanteni sana

Faith S Hilary said...

Heri ya mwaka mpya na wewe :-)

mumyhery said...

Happy Birthday nakutakia kila la heri afya njema na furaha tele.

Heri ya Mwaka Mpya