Monday, July 16, 2012

Kero Mitaani


Iwapo wewe utaona kuwa na ng'ombe wamejaa barabarani na kukuzuia kupita ukiwa maeneo ya vijijini, basi wenzetu mabata ni kero mijini.

Nawatakia siku njema!