Tuesday, August 24, 2010

Ni Ukweli Huu

Lazima tukubali.

Tunavuna tulichopanda, na tunakula kile tunachokifikia.
Kama hufikii vilivyo nona, kuna sharti lazima ulitimize... Maana yake, ni lazima uhangaike.

Nawatakia siku njema

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo umenena na ni mfano mzuri zana. Siku njema nawe pia.

Simon Kitururu said...

Hapo umenena ndio maana hata wezi wanahangaika kufikia kiibwacho.:-(