Monday, December 14, 2009

Michezo mingine Kwa Akina Dada!!


Mimi ni mpenzi sana wa chokleti, nikiiona mate hujaa mdomoni.

Lakini nilipoona haya mashindano ya kupigana mieleka huku mwili mzima ukiwa umepakawa chokleti, ....... nilisikia kama vile kutema.
Mavazi wanayovaa pia... ambayo ndio kama ndoano ya kumwangusha mtu, nisikilizie ikivutwa watu wanavyoachwa @*%?


Hawa ni akina dada huko Belarus wakiwa katika mieleka hiyo ya ukichaa, ati na watazamaji wapo kushuhudia, na tena sijui wanalipia!!

Picha kwa hisani ya travelNews

8 comments:

chib said...

Sijui ni kukosa kazi au uelekeo wa life!!

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli kazi ipo!!!

Bennet said...

Ubunifu, si unajua kila mtu anataka awepo kwenye kumbu kumbu kwamba na yeye alibuni mieleka ya chokoleti

Faith S Hilary said...

mmh...they gonna make me not like chocolate anymore...

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

yami yami...;>)

unadhani wote wanaoshiriki wanpenda ama wanashiriki ili walambe hiyo chokoleti...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

sina cha kusema

Simon Kitururu said...

Kwa kawaida michezo hii ni kwa ajili ya akinakaka kuburudika kwa kuona miili ya wanawake nusu uchi.

Mambo haya yapo sana kwenye klabu za kikubwa . Nikimaanisha zile klabu ambazo kivutio kikubwa ni kwa kuwa kuna wasichana wako uchi klabuni.

Mija Shija Sayi said...

Utasema wameungua moto.