Sunday, November 22, 2009

Vimini: Vinavutia au humpendezesha mdada!!


Kuna dhana moja ambayo watu wengi wanadau mwanamke kuvaa nguo/sketi fupi huwa anapendeza, na hasa anapokuwa ana umbo pana.
Swali ninalojiuliza, ni kweli huwa anapendeza au anakuwa kivutio kwenye macho ya wanaume?
Wazungu wengi huwa si wenye maumbile yenye hips pana, pale wanapovaa nguo fupiama dada hapo juu niliyebahatika kukutana naye huwa hawawapagaishi wanaume.
Jaribu kufikiria mdada mbantu hapo chini akivaa kimini kama hiki atapendeza au kuvutia?
Kazi kwako

1 comment:

Anonymous said...

Wewe Upepo sasa unataka kuleta zali, huyo dada hapo chini akivaa kimini....., kwanza hakuna saizi yake ya kimini, na akijaribu kuvaa hakitapita, na kikipita akitembea sijui kitapanda juu au kushuka :-)