Wednesday, November 25, 2009

Rihana: Kipindi cha mpitoRihana kama unavyomuona hapo juu, yupo katika kipindi kigumu, labda pia cha furaha kwa kuachana na rafiki yake katili kama wanavyomuita wengine Chris Brown.

Anajiandaa kuporomosha vitu vipya, ingawa amechelewa kidogo kuvitoa kama ilivyotarajiwa.

Mtakumbuka Chris alishitakiwa baada ya kumjeruhi vibaya Rihana katika mzozo, na watu walimshauri Rihana kuachana naye.

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Well, Well, Well!!!
Nimefurahi saana kuwasili hapa. Nashukuru kwa kuacha "signature" changamotoni nami nimefuata nyayo mpaka kujua kilipo kibaraza kingine cha KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUSAIDIA JAMII KUJIKOMBOA KIAKILI.
Asante kwa kazi hii kubwa na naendelea kukupa moyo kuwa japo ni ngumu na japo wakati mwingine yaonekana kukatisha tamaa, lakini inaifaa jamii na nina hakika TUKISHIRIKIANA TUTAFIKA TUUU
Blessings

mdoti Com-kom said...

Chris anaitwa katili huku bongo wa2 watashindwa kuelewa maana m2 kumpiga girlfriend au mkewe ni kitu cha kawaida na cha kijasiri. Ni tatizo la uelewa. Kanumba alimdunda girlfriend wake lakini hata hakuchukua hatua! Bado unyanyasaji wa kijinsia umebaki kwenye nyaraka za wanaharakati tu