Thursday, May 27, 2010

Uchokozi wa Venus Williams


Hivi karibuni Venus Williams alizusha gumzo pale alipoingia kwenye mashindano ya tennis akiwa amevaa bukta inayobana ambayo ina rangi karibu sawa na ngozi yake, kiasi kwamba waliokuwa wanamuangalia katika michapo ya tennis walikuwa wakipata hisia kama vile hajavaa kitu.
Kuna baadhi walilalamika sana!
Kama una macho mazuri kama ya kwangu utaiona bukta vyema, lakini ukiamua kutokuiona, basi utaishiwa na la kusema.

7 comments:

SIMON KITURURU said...

Sielewi kwanini anafanya hivi kwa kuwa NAAMINI talent yake inatosha kumpa atesheni bila kufanya vituko.:-(

SIMON KITURURU said...

DUh! Nilisahau kusema.
Anatako zuri lakini!:-)

Fadhy Mtanga said...

Hilo tako ndo limeniacha kinywa wazi..ashakum si matusi

Bennet said...

Tako zuri wapi kakomaa kama dume

Yasinta Ngonyani said...

Kaka zangu duh! kaazi kwelikweli yaaani mpaka tako mnalitamani, mweeeh!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

bennet dume liko je? unahukika kila dume limekomaa hvi??

Upepo Mwanana said...

Akina kaka, nami nasema DUH!!!!
Yaani nyie macho kwenye ..... tu.
Jamani hii ni picha tu