Tuesday, March 23, 2010

Vivazi vya Brazil

Sijui ni hali ya joto sana au basi mavazi kutokupewa umuhimu nchini Brazil, kwani akina dada wanavaa mavazi ya muaibisho kupita kiasi.
Ukiangalia mavazi wanayovaa wakati wa Samba carnival festival utachoka mwenyewe.

Sasa na huu mtindo wa kupanda pikipiki uhuku wakiwa robo tatu ...., sijui wanajisikiaje, au ndio mambo ya coccaine imeshapanda vichwani???!!!


Ingekuwa mitaa ya uarabuni sijui ingekuwaje?

Mpaka sasa sijapata picha halisi ya vivazi hivi, na kama kweli vinakubalika mitaani huko wakati wote.

Nawatakiajumanne njema wasomaji wangu wote!

7 comments:

Anonymous said...

Na bogno havijafika bado maana na wao hawachelewi kuiga kama wadosi vile.

MARKUS MPANGALA said...

duh hii kali yaani full kamanyola

Simon Kitururu said...

Brazil ina mambo mengi. Ni nchi ambayo inawaumini wafuata dini kikweli wengi sana hasa wa Kikatoliki. Kuna wabrazil kibao ambao Walokole wa Bongo hawaoni ndani.

Mara nyingi ni maswala ya Beach hasa na Samba carnival ndiyo yajengeayo watu kuwa Wabrazil wanahusudu kuwa nusu uchi.

Hizo picha usingeandika ni Brazil mimi ningehisi ni Jamaika kwa kuwa ndiko nionako sana mchezo wa kuvaa hivyo kwenye Pikipiki ulipokolea.

John Mwaipopo said...

i have seen these pics before. it's jamaica, not brazil. kweli mtakatifu simeone.

Mzee wa Changamoto said...

Vyovyote na kokote iwavyo.
Huyu ungeniuliza kavaa nini ningejibu KAVAA UCHI

Lakini SERIKALI YA MTU NI KICHWA CHAKE.
Mwache a-enjoy

Anonymous said...

Aaah nilifikiri hapa pia ni Mwanza teh teh teh..!!

Upepo Mwanana said...

Mwanza!!!, he heeee, wee anony!!