Friday, March 19, 2010

Mambo ya Ubunifu na Biashara

Kwa wale wanaotaka kupata starehe ya uhakika baada ya kuchoka na kazi nyingi au kero nyingi sana, basi watu wa Costa Rica wamebuni hoteli ya aina yake ikiwa katika muundo wa ndege ya boeing.
Hapa ni chumba cha mapumziko na runinga ikiwapo


Hiki ni chumba cha kulala
Kila kizuri ni gharama, kwa hapa usiku mmoja unalipa kati ya pauni za uingereza 200 - 300!
Wenye pesa zenu nendeni huko
Nawatakia wikend njema

1 comment:

Simon Kitururu said...

Kuna aliyeniambia kawahi kwenda katika sehemu staili hii Taiwan.

Wikiendi njema kwako pia UPEPO MWANANA!