Wakati tunaendelea kuingojea sikuu ya Paska, tunapaswa kuwa wema kwa matendo na kukumbuka mateso ya yule watu wengi wanaomwaminiya ya kuwa alikubali kuteswa kwa ajili ya kiumbe binadamu.
Wakati tunapotafakari picha hii na maajabu yake, basi tujiandae vyema kuupokea ufufko wake kwa matendo mema.
Nawatakia kila la heri katika Ijumaa kuu, paska na jumatatu ya paska.
Mbarikiwe sana
Thursday, April 21, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Heri na kwako pia.
Hiki ni kipindi cha kujinyenyekeza na kutafakari lengo na dhumuni la maisha yetu hapa duniani.
Mungu Aendelee kukubariki wewe pamoja na familia yako. Pasaka Njema !!!
Na kwako pia!
Na wewe pia!
Post a Comment