Friday, December 3, 2010

Nani zaidi?

I am not sure if this is competititon or just natural phenomena..

I wish you a cheerful weekend! And, you can guess what is going up there.

8 comments:

Anonymous said...

Yaonekana huyo aliyekaa kati mwenye poti tofauti na wengine anamimina, kwani wengine wamegeuza vichwa upande kabisa, sasa sijui ni kelele au harufu.

Yasinta Ngonyani said...

usiye na jina umenichekesha kweli:-) mmmmhh! mie nadhani hapa ni chekechea na wote inabidi wafanye hivyo na baadae kwenda kupumzika/kulala kidogo.

Fadhy Mtanga said...

mi nahisi hao ni mapacha

SIMON KITURURU said...

Mie namfikiria aliyepiga picha anafikiria nini!

Upepo Mwanana umenikenulisha meno !Shauri yako kama haikuwa nia yako weye!:-(

Anonymous said...

Ha ha haaaaaaaaa, yani wacha la kusema, na hasa wewe anony mwenzangu, ha ha haaaa zaidi

chib said...

:-)

EDNA said...

Hahahaaaa mimi naona ngoma droo.

John Mwaipopo said...

filamu ya Eddie Murphy ya NORBIT ina kasehemu NORBIT (Eddie mwenyewe)anakumbuka akiwa mtoto "they even pooped together" na mtoto mwingine aliyekuja kumuoa mwisho wa filamu. Walikuwa kwenye kituo cha kulelea yatima. nadhani na hawa ni kama wako katika mazingira magumu fulani