Friday, January 1, 2010

Heri ya mwaka mpya wa 2010

Nawatakia heri ya mwaka mpya 2010 kwa watu wote haswa wapenzi wa blogu.

Nipo kijijini napumzika, mtandao ni kazi kweli kuupata.

Ngoja tukusanye nguvu turudi tena kwenye ulingo.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Heri ya Mwaka Mpya nawe pia UPEPO MWANANA!

Natamani kweli kukujua jina lakini .:-(