Tuesday, January 5, 2010

Vazi rasmi la Kidini


Mtoto mdogo akiwa katika kundi la wanawake wa kiislamu.
Sijui kwa nini yeye naye hakuvishwa nguo za namna ile.. kama ya watu wazima

7 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hujui kama watoto hawana dini?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hujui kama watoto hawana dini?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...
This comment has been removed by the author.
Upepo Mwanana said...

Kamala nakushukuru kwa ufafanuzi, he heh he

SIMON KITURURU said...

Bado hana titi!

Inasemekana vazi hilo la WATU WAZIMA ni la kuwanyima wakubwa nundu za kikubwa zishawishizo tamanio.


Lakini sijui kwanini sielewi misingi ya KISWAHILI ya kuita wakubwa ``WATU WAZIMA´´.

Hivi watoto sio watu wazima?

Halil Mnzava said...

Watoto watavaa wakishakua!

Upepo Mwanana said...

Kazi ipo, he he he