Monday, July 16, 2012

Kero Mitaani


Iwapo wewe utaona kuwa na ng'ombe wamejaa barabarani na kukuzuia kupita ukiwa maeneo ya vijijini, basi wenzetu mabata ni kero mijini.

Nawatakia siku njema!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo kazi kweli kweli, siku njema nawe pia

emuthree said...

Mpendwa upo, ama hi kali, mabata kama ndege....duuh,huyo jamaa anajua idadi yake kweli!

chib said...

mmmmmm