Friday, July 8, 2011

Ngumi Za Mitaani!!!

Sijui ni ukosefu wa kazi, ulevi au kuchanganyikiwa akili.
Kama kawaida... wehu huu haukosi mashabiki, na watu wanaangalia tu

6 comments:

Ivo Serenthà said...

Thanks for visiting, good continuation of your blog

Goodman Manyanya Phiri said...

@Upepo

Je umeshatahamaki? Upumbavu wote duniani lazima umwanzie mwanaume ndipo labda baadaye mwanamke naye kuigia.

Hao lazima wanatoka kitandani wote kabla ya kupigana ngumi; la sivyo sababu ndiyo nini wako uchi?

chib said...

Heee!!!
Hivyo vipaja yaelekea wote ni wanaume

emu-three said...

Aibu tupu, ilitakiwa wakamatwe, wachape viboko, kwani huo ni utoto, kama watoto tunawachapa wakiwa uchi, sembuse hawo...na nahisi wamefumaniana!
Ilikuwaje, Mchwara mmoja alikuwa na hawara, siku hiyo kaingia kwa hawara wake, kama kawaida yao, wakiwa wanavunja amri ya ngapi vile...mmmh, mnaijua vyema kuliko mimi, mara akaingia ITM, wa huyo mke..yule mama kuona atakosa mapato ya kila siku akamwambia yule hawara-mue, aingie uvunguni..
'Kwanini mpenzi...' akauliza hawara-mume
'Wewe usiulize, ingia mvunguni haraka, ...' yule hawara mume akakubali, kinyonge
ATM, akaingia, na kwasababu anajua hap ndio sehemu yake ya kuwekeza kimapenziakavua nguo kitandani...jamaa chini wivu ukamzidi, kwanini... hakujua kuwa huyo ndiye anyemuzesha siku akichacha mwanamke anamfadhili...
'Haiwezekani, mbona huyu mke ananifanya hivi, sikubali, akatoka kule kitandani.
Ugomvi ukaanza...`wewe nani, huyu nani..'
Jamani tokeni humu ndani kama mnataka kupigana kapiganieni huko nje, akasema yule mwanamke...kweli jamaa bila kujijua wakiwa na hasira wakatoka nje wakiwa uchi...zikaanza kuzichapa, watu 'oooh, piga...ooh, wehu hawo..ooh, vichaa wanagombana...oooh, yakafika kwa upepo mwanana, ...mambo hadharani.

Anonymous said...

Duuuh, kumbe ndio stori yenyewe! dunia kwisha kazi eeeeh

Fadhy Mtanga said...

duuuuh! wazima kweli hao?