Wednesday, May 18, 2011

Williams, akina Dada wa Mfano


Ukakamavu wa mwili hauhitaji lelemama
Siri ya mafanikio ni kujituma na kufanya kazi kwa bidii
Siri ya ushindi ni kutekeleza kile unachokianmini kwa nguvu zako zote, akili zako zote na utashii wako wote bila kujali nani anasema nini


Siri ya akina dada hawa, ni kujituma na kufanya mchezo wa tenisi kama ndio ofisi ya maisha yao.

Mimi ni mpenzi na mfuasi mkubwa wa akina dada hawa

4 comments:

emu-three said...

Kweli hawa ndio wanawake wa shoka, maana hiyo misuli, inadhihirisha hivyo. Shukurani upepo mwanana wa burudaaaani... ukiacha hiyo miwani yako naiomba!

Yasinta Ngonyani said...

Hakika umenena umanikumbusha hilo neno KUJITUMA. Baba na mama walikuwa wakituambia tulipokuwa wadogo na mpaka leo bado KUJITUMA ndio msingi wa maisha. Au pia KUJITEGEMA.....

Simon Kitururu said...

Amen!

Lakini kujituma kukizidi kunawezesha pia mtu kuwa Mtumwa!:-(

Goodman Manyanya Phiri said...

Wanacho kipaji; lakini siyo wavivu kutoa jasho pia!