Friday, October 29, 2010

Wimbo wa Uchaguzi kwa Sasa

Lala salama hiyooooo
Uchaguzi unakaribia
Vijana tupo tayari kuleta mapinduzi
Tumejiandikisha
Ni lazima tupige kura na kuweka historia
Wazee wote wang'oke
Mafisadi hawana nafasi
Tunataka maendeleo kwenda mbele na si vinginevyo
Mgombea wangu kura yangu anayo

Je na wewe mgombea wako unamuahidi nini?

Tafadhali jitokeze kupiga kura yako siku ya jumapili.

Tutashinda tu!

2 comments:

Simon Kitururu said...

Mungu ibariki Tanzania! Tuombee hii ndude iende kwa amani!

chib said...

Kuna mafisadi wengine wamepenyeza