Wednesday, April 21, 2010

Mji wa Mwanza Wavutia

Katiak kupitia vibaraza vya watu, nimekutana na picha nyingi za mji wa Mwanza, ambazo kwa kweli zimenivutia sana hasa ujengaji wa majumba katika milima yenye mawe na pia usafi wa mji wenyewe

Nimeona si vibaya nikitoa chache hapa kwangu ili na nyie msikose uhondo.
Kwa picha zaidi angalia hapa
Kisha tafuta kwenye post za April 2010

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa taswira ya mwanza kwa kweli itabidi tufunge safari kwenda huko maana duh!

Fadhy Mtanga said...

Ni kuzuri sana. Ahsante kwa picha.