I always admires Lady Michelle Obama..Huyu mama alistahili kuwa mwanamitindo, maana anajua kuchagua nguo za kuvaa, na sijui kama huwa anarudia nguo.
Ninatamani siku moja ningepata fursa ya kutembelea ward-robe yake nikajionee mitindo mbalimbali ya nguo zake.

3 comments:
Wamependeza kwa kweli.
Ni kweli wamependaza kweli kweli mpaka wivu:-)
@Mija na Yasinta. Ahsanteni kwa maono yenu. Karibuni tena
Post a Comment