Wednesday, June 1, 2011

Mambo ya Usawa wa Kijinsia


Piga kelele weeee, lakini.....

6 comments:

emu-three said...

Ukichunguza haya maswala kiundani unaweza ukabakia kujiuliza maswali mengi ya kwanini na ili iweje! Kuna kazi ngumu kama ya zege kuna vita nk watendaji wengi ni waume! Unaweza ukauliza mbona waume hawalalamiki! Vyovyote iwavyo 'kuhurumiana' ni kitu muhimu sana!

Swahili na Waswahili said...

Duhhh hii kiboko,hapo kuna mapenzi kweli jamani!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Kama hatujui ilikuwakuwaje mpaka hizi picha zitokee, hatuwezi tukatoa hukumu eti "hamna usawa wa jinsia hapo". Labda tuseme: "Ni ushamba mtupu".


Hata hapo tutakuwa tunakosea tu. Labda bibi wakwanza alisema mwenyewe "Nishike tu mkono lakini usibebe chupa hizi...nafanyia mazoezi ya mkono wangu"


Labda bibi wa pili naye alisema: "Akitokea mume wangu kilema na kukuona wewe umebeba huu mzigo, atajuwa waziwazi unanitongoza. Bora ongea tu mimi nitakusikiliza... unisindikize kwa maneno yako matamu kwangu, sawa?"

chib said...

Goodman!! Ha ha haaaa

SIMON KITURURU said...

@Naungana na CHIB: :-)

Upepo Mwanana said...

Shukrani wageni wangu, nimecheka kwa mawazo tofauti