Saturday, June 11, 2011

Akina Dada, kuweni Waangalifu na Hawa Wehu!

Natanguliza kumradhi, hili tukio liliniogofya, nikaona nitoe onyo kwa wale wapenda kununua vitu vya barabarani. Jaribuni kuangalia mavazi ya muuzaji, japo inaweza isikinge kwa asilimia mia moja, lakini inaweza kukuepusheni na wasio nazo kama hawa!

10 comments:

mumyhery said...

nimecheka bila kutegemea!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Nawe upepo umezidi! Lakini safi sana kwa kunitoa STRESS! Kama Mumhery, nami nimecheka ile mbaya!

Lakini baada ya kuona video hii, utaendelea kunyonya ICE-CREAM hadharani? Mimi naona ushamba ukiwa mtu mzima mara unaramba hovyo mitaani! (Sijawaona Wabongo, lakini Johannesburg ndio kazi hiyo aisee!)

Mcharia said...

Mh!!!

Anonymous said...

Hii ni Kali ya mwaka, ukweli hata mimi nimecheka sana, wala hilo onyo lako aslani halina uzito ukilinganisha na video yenyewe

Swahili na Waswahili said...

haahahhahaa hii kiboko!

emu-three said...

Ina maana nchi hiyo haina sheria...kwasababu huko ni kuzalilishana...labda ni moja ya sikukuuu za wajinga!

Anonymous said...

Ha ha haaa, ama kweliiiiiii

Anonymous said...

Kumbe akina mama waoga hivyo!!

Mwanasosholojia said...

Dah!Teh!teh!Kaazi kweli kweli!

malkiory matiya said...

Burudani safi