EEEhh! kwanza habari za kupotea nilitaka nipeleke matangazo panapohusika:-) Ama kweli huwezi kuamini, kaazi kwelikweli hiyo kasi sijui inaw ya namna gani maana barabara ndo hivyo usafiri nao hivyohivyo miaka nenda miaka rudi maji ndo usisema yaani wanaweza kweli kutudanganya nipe kura itakuwa hivi na wakisha pata kura hatuwaoni tena...Inasikitisha, inasikitisha, inasikitisha sana:-(
Lazima machozi ya kukaribie hasa unapoona wale watoto kisimani. Wale watu sisi wenyewe tumewasahau. Hatutaki kuwaona kwani tunafikiri matatizo yetu binafsi ndio makubwa kuliko yamtu mwingine yule. Lakini kila tukiwaona tunakumbushwa kwamba sisi waongo tu wakubuni matatizo yetu. Ndio maana wamepotelea mbali; lakini shtaka letu liko karibu nasi. Kwa kweli tunakwenda kulala nalo kila siku tunapopanda vitandani vyetu.
Asante Bibi Mwanana, Mkuu, kwa kutukumbusha tunadaiwa huko nje!
4 comments:

Naam, nina hakika kama hatutageuka, tutafika huko tunakoelekezwa, sijui nipaite Jehanamu au sijui NINI VILE.
Tutafika tu!
Kwani hivi tunaelekea wapi vile?:-(
Post a Comment