Thursday, September 9, 2010

Boys are Just Boys
No comment!


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli watoto wa kiume ni wa kiume, nakumbuka kijana wangu alipokuwa miaka 2 alijaribu kupenya chini ya fensi. Kaazi kwelikweli

SIMON KITURURU said...

Mngemshuhudia mtoto wa dada yangu ambaye ni wakike mambo zake wakati alipo kuwa mdogo mngeweza kustukia na watoto wa kike inategemea tu. Maana huyo kila utundu yumo na kulia halii.

Ilikuwa unaweza kumkuta kaparamia sehemu ambayo unaogopa mwenyewe halafu kweli anaporomoka na bado kulia halii.

Well,...
DADA yangu mwenyewe alikuwa kiboko kuna mambo kama kuwinda ndege kwa manati badala ya mimi niwe bingwa ila yeye ndio alikuwa bingwa.:-(

Sasa sijui hapo niseme Girls will not always be girls? AU?

Anonymous said...

hA HA haaa, naona kuna watoto wa kike wengine wamezidi, lakini wa kiume mara nyingi ni kiboko