Tuesday, July 6, 2010

Walafi wa Bongo


Na kweli... aibu zao!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ehh! kaazi kwelikweli!! Umekuwa umepotea ndugu yangu karibu tena!

Upepo Mwanana said...

Ahsante dada Yasintamaisha, masomo, kazi nk vyote vinafanya tunapotea kidogo.

Blackmannen said...

He he he he heee ni Kikatuni kizuri chenye ujumbe kamili.

Wewe ni nani? Maana kila ninapotaka kukujua, wewe hupotea hapa kwa masiku kibao. Maana dada weye unayo majina lukuki, Upepo Mwanana, Tembe Mwana, Mjasiriamali na Mwanafunzi, vyote ni wewe.
Kaaazi kweli kweli.

This Is Black=Blackmannen

Upepo Mwanana said...

Blakmannen... Ni kweli huwa napotea sana, si ajua siku hizi darasa lipo kila mahali, asubuhi waingia mtaani kwa kazi, jioni shule, unajaribu ku-blog tena kukutana na watu nk nk nk. Majina mengine ni ya kublogu tu, na mengine ndio asili haswa. ha ha haaa