Thursday, November 19, 2009

Nashukuru kuingia humu

Nafahamu mwanzo ni mgumu, lakini najua wadau mtaniunga mkono na kunisapoti ili niwe kama nyinyi.

Nitatembelea blogu zenu kujifunza mengi kutoka kwenu, naomba msinichoke.
Pia nawakaribisha sana, msiudhike na vituko hapa kwenye blogu, kila kitu ni kuelimishana, kinachoudhi, ni funzo kwa watu kwamba tusifanye hayo mambo.

5 comments:

John Mwaipopo said...

karibu tuletee maudhi yatakayotekebisha

Yasinta Ngonyani said...

Nami naomba niwe mgeni ktk blog hii. Kwangu unakaribishwa sana kila wakati. Ahsante kwa kunitembea.

Halil Mnzava said...

Karibu sana nashukuru kwa kutembelea kijiji changu

Upepo Mwanana said...

Kwa kweli makaribisho haya ni makubwa, nawashukuru sana.
Mwaipopo, usiwe na wasi, nina hakika sitawaudhi ha ha haaa

chib said...

Karibu tena kwenye mabaraza ya wadau. Mwanzo wako ni mzuri