Friday, November 27, 2009

Michoro inavyoremba Uso na MwiliAhaaaaSio lazima kutumia gharama kubwa kuupamba uso na kuwakaribisha vibaka kukupora.

Very simple, hata kwa watoto wanapendeza, jaribu kufanya hivi siku ya sherehe ya mwanao ya kuzaliwa, utamwona jinsi atakavyo furahia, he he heee

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

Nami nimekuwa mgeni wako. Ahsante sana kwa blog nzuri. Japo imeanza hivi karibuni, ipo juu juu kabisa. Nimejifunza vitu vingi.
Nakuombea kila la kheri.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Inapendeza sana na yanikumbusha wakati wa jando kwa mila ya kikurya ambapo binti ama kijana anajipamba kwa rangi lukuki kama hivo...lol

Upepo Mwanana said...

Kwa mabinti... hata sikuungi mkono Chacha, huo ni ukeketaji.