Thursday, September 22, 2011

Ujumbe Kupitia Katika Mavazi

Bada ya likizo ndefu, bado natafakari picha hii pamoja na ujumbe wake!

Nimeitoa kwa Allen Phillip

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

eeehhheehhh...ulikuwa na likizo ndefuuuu kwelikweli..karibu tena . Ina wezekana ni kweli kuna wakati unatabasamu bila kujua ni nini unachotabasamu.

SIMON KITURURU said...

Huo ujumbe umenikuna kwa kuwa mara kibao hata mie imenitokea kutabasabu kwa kuwa tu nimechanganyikiwa na nishuhudiayo na wala sio kuwa nimechekeshwa.:-(

Anonymous said...

Kweli huu ujumbe ni mzito, usione mtu anatabasamu ukafikiri amepata mafanikio makubwa, kumbe ni tabasamu la kujipa moyo.

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.

Upepo Mwanana said...

Ahsanteni kwa kunisalimia!