tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post9092579895218794045..comments2023-05-13T12:49:32.562+02:00Comments on Upepo Mwanana: Tanzania: Chama Tawala ni kipi?Upepo Mwananahttp://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-16125553099358042032011-03-22T18:28:03.266+02:002011-03-22T18:28:03.266+02:00Kweli kabisa emu-threeKweli kabisa emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-49293652721230065722011-03-22T08:32:56.011+02:002011-03-22T08:32:56.011+02:00Siasa , siasa ...nakumbuka sana lile swali tulilou...Siasa , siasa ...nakumbuka sana lile swali tuliloulizwa o-level, lilisema hivi `siasa ni uongo wenye ukweli ndani yake....jadili'<br /> Nia na madhumuni ya vyama vyote ni kuchukua dola, na kile kilichopo madarakani ni kulinda ili kiendelee kuwepo madarakani. Kwahiyo pamoja na kuwajibka kama chama tawala, pia kina majukumu ya kuhakikisha kuwa vyama vingine havina nguvu, kwa kila mbinu.<br /> emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com