tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post8541523950727777344..comments2023-05-13T12:49:32.562+02:00Comments on Upepo Mwanana: Changamoto ya Siku ya Wanawake Duniani 2010Upepo Mwananahttp://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-78716522333620675242010-03-10T00:59:24.787+02:002010-03-10T00:59:24.787+02:00Habari hii ni ya kusikitisha, na hata huko Uganda ...Habari hii ni ya kusikitisha, na hata huko Uganda wanawake wamefanya maandamano kuonyesha hasira yao kutokana na vifo vya akina mama wajawazito tena wakiwa hospitali.<br />Tatizo kubwa kwetu siasa yetu inaangalia kufaidika kwa tumbo la mlafi mmoja bila kujali watu wengine huduma za afya wanazipataje.<br />Nakubalina nawe ya kuwa mjamzito si mgonjwa.<br />Together we can eliminate this problem.chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-80887562658442273882010-03-08T21:26:56.234+02:002010-03-08T21:26:56.234+02:00Hongera wanawake wote Dunianai kwa siku hii.Hongera wanawake wote Dunianai kwa siku hii.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com