tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post5457349010794966994..comments2023-05-13T12:49:32.562+02:00Comments on Upepo Mwanana: Watanzania Tumerogwa???Upepo Mwananahttp://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-28165679741294117072010-06-04T02:20:36.766+02:002010-06-04T02:20:36.766+02:00Simply,tumerogwa na aliyeturoga keshafariki...maan...Simply,tumerogwa na aliyeturoga keshafariki...maana wanasema alokuroga akifariki ndio basi tena.Haiyumkiniki kuendelea kuwavumilia wahuni wachache wanaoipeleka nchi kusikoeleweka ilhali kuna kila sababu,nia na njia ya kuwaondoa.
Wanasiasa sio wajinga kihivyo kwa vile wanafahamu udhaifu wetu uko wapi na wanautumia ipasavyo 'kutupelekesha'.
Uhuru wa 1961 unazidi kupoteza maana Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-18429703925525825872010-06-03T22:18:36.839+02:002010-06-03T22:18:36.839+02:00Imani za kisiasa Bongo, kwa watu wengi wanaamini m...Imani za kisiasa Bongo, kwa watu wengi wanaamini mambo ya uzandiki na fitna. Ni ukweli ambao watu hawataki kuukubali.
Nyerere alisema mficha ficha maradhi, kilio kitamfichua.
Sioni ubaya wa kutoa mawazo yako na mtazamo wako. Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na mtazamo wakochibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-45136073907053998722010-06-02T14:21:23.180+02:002010-06-02T14:21:23.180+02:00wew unasema kurogwa ikiwa na maana kuwa unaamini k...wew unasema kurogwa ikiwa na maana kuwa unaamini kurogana. ila sasa suala jingine la pinda kusema tumerogwa, basi aachie ngazi ambao hawajarogwa washike kasi

unasema wanasiasa wajinga? ujinga ninini? hivi kweli wewe sio mjinga?

katika ujinga ndiko unakotoka kutokuwa mjinga. ujinga ni muhimukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com