tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post2314204611920055904..comments2023-05-13T12:49:32.562+02:00Comments on Upepo Mwanana: Mtazamo wangu Katika Baraza Jipya la Mawaziri 2010Upepo Mwananahttp://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-68553974247339884702010-12-01T17:18:50.397+02:002010-12-01T17:18:50.397+02:00Suala la JK kuchagua watu 9 tu, duh, siwezi kulise...Suala la JK kuchagua watu 9 tu, duh, siwezi kulisema, nina imani wapo wengi zaidi ya hapo, labda kimkakati wake, si unajua alikuwa mjeshi zamani.....<br />Mimi navuta subira kwanza.Upepo Mwananahttps://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-29132394866300740002010-12-01T12:51:52.865+02:002010-12-01T12:51:52.865+02:00Kama alivyonena mzee wa changamoto, watupe ilani z...Kama alivyonena mzee wa changamoto, watupe ilani zao binafsi kama wizara, watafanya nini, ili iwepo hadharani, na sisi tuwe tunafuatilia ahadi zao, kwani wizara inayoshughulikia barabara, ina jukumu kubwa sana, kwani inagusa wanachi, na inachangia kiasi kikubwa kurudisha watu nyuma.<br /> Pia mambo ya nishati hasa umeme, hili ni gonjwa sugu, Kama ingekuwa mimi ningepiga fagio la chuma, niwekwe emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-48877414485543962912010-11-26T22:36:25.724+02:002010-11-26T22:36:25.724+02:00"Dhana ya kuchagua wanawake tu mradi kufurahi..."Dhana ya kuchagua wanawake tu mradi kufurahisha kundi la watu fulani hatupaswi kuliweka mbele, tunapenda pale ambapo mwanamke ana sifa sawa na mwanaume, basi hapo ndipo mwanamke atakapopendelewa, na sio hata yule aliye hoi na mbumbumbu wa kitu fulani basi na apewe nafasi ya uongozi eti kwa sababu tu ni mwanamke."<br />Hapa umenena. Lakini kinachonipa shaka ni kama WANAWAKE 9 TU NDIO Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1432204367911732578.post-84513097327950959932010-11-26T13:19:53.991+02:002010-11-26T13:19:53.991+02:00Sawa dada!yetu macho kuona utendaji wao.
Ubarikiwe...Sawa dada!yetu macho kuona utendaji wao.<br />Ubarikiwe!!Halil Mnzavahttps://www.blogger.com/profile/13484877026620062055noreply@blogger.com